JINSI YA KULIPA KWA MPESA
Lipa Na M-PESA
- Piga *150*00#
- Chagua 4 "Lipa kwa MPESA"
- Chagua 1 "Lipa Kwa SIMU"
- Chagua 1 “Ingiza Lipa Namba” 5566365"
- Ingiza Kiasi
- Ingiza Namba ya Siri Kuthibithisha
- Jina La Biashara NETPOA LIMITED
Lipa Kwa Mitandao Mingine
Fungua Menu ya Huduma za Kifedha
- Chagua Tuma Pesa
- Chagua Kwenda Mitandao Mingine
- Chagua MPESA
- Ingiza Namba 5566365
- Ingiza Kiasi
- Ingiza Namba ya Siri Kuthibithisha
- Jina La Biashara NETPOA LIMITED
Mara baada ya kulipa utatuma ujumbe wa maandishi kupitia namba yetu ya WhatsApp +255 755 515 122