Usiogope Corona, Hamishia Biashara Yako Mtandaoni Leo.

Habari rafiki, napenda kukupa pole kwa majanga haya ya ugonjwa wa Corona, ni kweli mambo haya yameleta taharuki na wengi wamekuwa na hofu kubwa. Nataka nikutie moyo usikate tamaa, amua kubadilika na mazingira.

Zipo njia nyingi unaweza kutumia ukaendelea na biashara zako kwa kipindi hiki, wakati wengine biashara zao zinakufa, wewe bado unaweza kuamua kuendelea mbele.

NetPoa tumedhamiria kuhakikisha biashara yako inakuwa hai kwenye mtandao wa internet. Tumekuletea huduma nzuri ambazo zinakuwezesha wewe ujenge biashara yako na uweze kuendelea kuduma bila kuyumba majanga kama haya yanapotokea.

Tuna huduma ambazo zinakufaa sana wewe mjasiriamali.

Tunatengeneza Websites.

Kwa wewe ambaye mpaka sasa hujaweza kumiliki website ya biashara yako hii ni fursa kwako.
NetPoa tunakutengenezea website nzuri ambayo itakwenda kuiinua biashara yako kwenye viwango vipya.

Website yako itaweza.

✅Kuonesha kila unachokifanya kwa upana.

✅Kuonesha kazi/bidhaa ambazo umekwisha kufanya (hii inaongeza kuaminika zaidi)

✅Kuonesha Shuhuda mbalimbali za wateja wako. (Inaongeza Imani)
Mkumbuke yule mteja wa nguvu ambaye umewahi kufanya nae kazi akaridhika muombe akupe ushuhuda mfupi nasi tutauweka kwenye website yako.

✅Kuonesha Mawasiliano yako, Mahali ulipo, na Kuunganisha na Mitandao ya Kijamii.

✅ Utapata Emails ambazo zinakuza jina la biashara yako zaidi. (mfano badala ya kuwaambia watu wakutafute kwa email ya Gmail basi utawapa email ya website yako mfano ya kwetu ni info@netpoa.com)
Emails hizi zina usalama mkubwa hivyo usiwe na wasiwasi.

✅ Tunakuwekea mfumo unaokusanya taarifa za watu wanaotembelea website yako, Hivyo hata kama wasiponunua unakuwa una mawasiliano yao na utaweza kuendelea kuwasiliana nao na kuwajulisha bidhaa mbalimbali mpya zinazotoka.

Hizi ni baadhi tu ya vitu unavyopata ukitengeneza website na NetPoa.

Huduma nyingine tunazotoa:

Web Hosting.

NetPoa inamiliki server yake hivyo website zote tunazotengeneza tunazihudumia sisi Wenyewe. Gharama zetu ni nafuu sana. Ukitengeneza website na sisi utakuwa unalipia ada ya kuweka hewani (Hosting) kwa mwaka gharama ndogo ambazo hutashindwa.

✔Tunasajili Domain Name (mfano wa domain name ndio kama hii netpoa.com)

✔ Tunakusaidia Uweze kutumia Mitandao ya Kijamii Kibiashara. (Branding)

Samahani sana kwa kutumia baadhi ya Maneno ambayo yako kitaalamu. Kama hujaelewa popote naweza kukuelewesha.

Karibu Sana Tufanye Kazi.

NetPoa
0755192418
info@netpoa.com
www.netpoa.com

0 replies

Leave a Reply

Want to join the discussion?
Feel free to contribute!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *