Habari Rafiki,
Hongera kwa kutaka kupata Blog Yako Ya Kitaalamu.

Kupitia mtandao wa NETPOA utaweza kutengenezewa blog yako ya kitaalamu na kuitumia kutoa maarifa na mafunzo na baadaye kutengeneza kipato kwenye mtandao kwa kutumia blog hiyo.
Huhitaji kuwa na utaalamu wowote kuhusu kutengeneza blog au kuendesha mitandao.
Hitaji pekee ni wewe kuweza kuandika, mengine yote tunayafanya sisi, wewe unakuwa na kazi moja tu, kuandika na kutengeneza hadhira yako kupitia utaalamu wako.

BLOG YA KITAALAMU
Kupitia huduma ya blog ya kitaalamu unapata blog yako iliyokamilika kama unavyotaka wewe mwenyewe. Blog hii inakuwa na jina (domain name) unalochagua wewe mwenyewe na inakuwa na email zako maalumu.
Kwa huduma hii utapata yafuatayo;

Blog unayoimiliki wewe kwa asilimia 100, unaweza pia kuifanya kuwa tovuti yako.

Blog yenye anwani unayotaka mwenyewe (domain name).

Blog yako inahifadhiwa kwenye sehemu maalumu ambayo unaimiliki wewe (hosting)

Unatengenezewa na kuunganishiwa mfumo wa email (email list)

Unaunganishiwa blog yako kwenye mitandao ya kijamii.

Unapata ushauri wa namna ya kukuza blog yako na kutengeneza kipato.

Utaunganishwa kwenye kundi maalumu la wasap la mtandao huu wa wataalamu ambapo utapata ushauri kuhusu kuendesha na kukuza blog yako.

Utapata ushauri wa moja kwa moja kwa changamoto yoyote unayopitia kutoka kwa Kocha Jacob Mushi.

Unaweza kuihamisha blog hii wakati wowote na kuipeleka popote unapotaka kuiweka.

GHARAMA ZA HUDUMA HII.
Gharama za huduma hii ni kama ifuatavyo;

Anwani ya blog yako (domain name) tsh 30,000/= kwa mwaka.

Sehemu ya kuhifadhi blog yako (hosting) tsh 70,000/= kwa mwaka.

kuitengeneza blog iliyokamilika na kuunganishwa tsh 100,000/=

Jumla ya gharama kwa kuanzia ni tsh 200,000/=
Kila mwaka unalipa tsh 100,000/= kwa ajili ya domain na hosting.

Karibu sana upate huduma hii sasa, piga simu 0755192418.

NJIA YA MALIPO.
Kulipia huduma yoyote ya NETPOA , tumia namba zifuatazo;
MPESA = 0755 192 418 (JINA; JACOB MOSHI )
TIGO PESA = 0654 726 668 (JINA NI JACOB MOSHI)

Ukishatuma fedha tuma ujumbe kwa njia ya wasap kwenye namba 0755 192 418 ili kupata huduma uliyolipia

Rafiki na Kocha wako,
Jacob Mushi,
jacob@netpoa.com