Tahadhari; Kama Ni MfanyaBiashara Hakikisha Unajua OFA Hii Kabla Ya Muda Wake Kuisha.

Kama ilivyo kawaida netpoa tumekuwa tunakuja na ofa mbalimbali za huduma zetu.

Na wakati huu pia bado hatujakuacha nyuma.

Tuna ofa nyingi sana sasa ni wewe tu kutazama ni kipi kinakuhusu kasha ujinyakulie haraka sana.

Usichelewe sasa.

a/ HUNA KAMPUNI KABISA NA HUNA WEBSITE

Wewe ambaye katika mipango yako mwaka huu ilikuwa ni kusajili kampuni yako tumekuandalia ofa kabambe sana.

Tunakusaidia kusajili Kampuni yako kwenye mfumo wa Brela halafu tunakupa bure vitu vifuatavyo:

🔰Domain name ya kampuni (30,000/=)

🔰Emails za Kisasa 3 (60,000/=)

🔰Coming Soon Page (50,000/=)

Jumla yake ni Tsh 140,000/=

Lakini unaposajili kampuni nasi utavipata bure kabisa yaani utalipia gharama za kusajili kampuni pekee yake.

Sijui kama umeelewa hapo?

Kama hujaelewa basi endelea kufuatana name hadi mwisho uchukue namba za simu unipigie.

b/ UNAYO KAMPUNI/BIASHARA NA UNATAKA WEBSITE.

Wewe ambaye tayari umeshasajili kampuni na unatamani sana kuwa na website lakini mara zote umekuwa unakwama kwasababu mbalimbali.

Kwanza nataka nikupe pole sana.

Ni vile tu bado hujajua umekuwa unapoteza wateja wengi sana.

Kwa dunia tuliyonayo sasa mtu anapohitaji huduma yoyote hatua ya kwanza anakwenda kwenye mtandao kuitafuta hiyo huduma.

Sasa najua unafahamu kwamba huyu mteja haijui kabisa biashara yako lakini anajua nini anataka.

Kama mteja huyu akija kwenye mtandao analetewa tovuti za washindani wako unafikiri akikutana na ofisi yako atajihangaisha kuja?

Hapana atasema ngoja niende kwa wale kule niliwaona kwenye mtandao.

Sasa acha kupoteza muda njoo tukutengenezee tovuti, tukuandikie makala za huduma unazotoa, tukutengenezee uweze kuonekana wa kwanza pale mteja anapotafuta kile unachotoa.

Na biashara yako itaanza kuwa ya tofauti kwasababu kila siku watakuja wateja wakwambie nimewaona kwenye mtandao.

Gharama za huduma hii ni Tsh 500,000/= au zaidi ya hapo kulingana na aina ya tovuti unayotaka lakini kwasababu nimekwambia huu ni mwezi wa offa utapata kwa gharama ndogo sana.

Unachotakiwa kufanya ni kutuma ujumbe kwa mawasiliano yaliyoko mwishoni mwa ujumbe huu. Tuma Ujumbe “NATAKA TOVUTI.”

c/ UNAYO KAMPUNI/BIASHARA UNAYO WEBSITE LAKINI HUONI MATOKEO YAKE AU UNAPATA CHANGAMOTO ZA KUENDESHA.

Haya sasa wewe ambaye ulitengenezewa website mahali na umefikia mahali huoni kama inakuletea wateja, au basi umekuwa unapata changamoto za kuiendesha. Sisi pia tunaweza kukusaidia sana na ukaanza kuona matokeo makubwa sana.

Kazi yetu ni kukusaidia kuendesha Tovuti na mitandao ya kijamii yote, tutakutengenezea makala nzuri zinazovuta wateja kuchukua huduma au bidhaa unazotoa, tuna kusaidia kupost mara kwa mara kwenye mitandao yako ya kijamii na kuwajibu wale wateja wako wanaulizia vitu kwenye kurasa zako.

Ukiwa na offa mbalimbali kama hivi basi tunakusaidia kuandika makala zinazowavuta wateja wafanye maamuzi ya kuchukua huduma unayotoa.

Ukihitaji kufanya matangazo ya kulipia sisi tunakusaidia kuendesha kila kitu wewe unasubiri matokeo tu.

Kazi yako wewe ni kutueleza tu kile unachokitaka sisi tunakifanyia kazi.

Najua una shauku sana ya kujua offa ya huduma hii ikoje, sasa kwasababu ya biashara zinatofautiana gharama nazo zinakuwa tofauti.

Wewe ambaye umeona una uhitaji wa huduma hii tuma ujumbe au piga simu mara moja.

Huduma hii ni kwa watu wachache sana, na ambao wako tayari kuona matokeo.

Sasa ukichelewa kutupigia tukupe offa utakuta nafasi zimeshachukuliwa zote.

Haya Sasa Naomba usiendelee kupoteza muda, Tupigie sasa, Au Tuma Ujumbe WhatsApp
Call/WhatsApp +255 755 192 418
Website www.netpoa.com
Email sales@netpoa.com
WhatsApp 👉🏿 https://wa.me/message/M6OUG6EZ3KPAO1

0 replies

Leave a Reply

Want to join the discussion?
Feel free to contribute!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *