PATA WEBSITE YA KISASA KWA AJILI YA BIASHARA YAKO.

Kwanini Biashara Yako Inahitaji Website?

Kwa muda sasa tangu mapinduzi ya mtandao wa intaneti yalipokuja tumekuwa na watumiaji wengi sana wa intaneti. Ukiwepo wewe wapo wengine mamilioni ndani ya nchi yetu ya Tanzania. Kwa mujibu wa takwimu za karibuni za TCRA zinasema kuna watumiaji Zaidi ya milioni 23 wa intaneti nchini.

Sasa Rafiki yangu watu milioni 23 hapo kuna wateja wako wangapi? Ukiwa na website ambayo inaelezea kile unachokifanya na kumrahisishia mteja wako kukufahamu kabla hajawafahamu washindani wako ni mojawapo ya njia rahisi ya kukuza biashara yako Zaidi.

Kingine ni kwamba watu wengi kwa sasa anapokuwa anahitaji kitu chochote lazima aanze kwanza kukitafuta kwenye mitandao. Sasa je watu wanaohitaji kile unachokiuza wakiitafuta wanakutana na watu gani? JIBU NI WASHINDANI WAKO ambao tayari wana tovuti na mitandao ya kijamii.

Sasa usiendelee kuchelewa tena, karibu ufanye kazi nasi tukuweke hewani na kukufikisha kirahisi kwa wateja wako.

Website Zote Zinakuja na Offa Hizi:

  • Website hii inaunganishwa na mitandao yako yote ya kijamii  na kama huna mitandao hii utatengenezewa bure.
  • Utapata offer ya kuwekewa tangazo moja bure kwenye mitandao yetu yenye wafuasi wengi ambalo linaelezea huduma zako zote na pia kuwaelekeza watu watembelee website yako.
  • Utapata offer ya kutengenezewa website yako iweze kuonekana haraka kwenye mitandao ya Google, (yaani mtu anapotafuta huduma unazotoa basi website yako iwe inatokea kwenye kurasa za kwanza).
  • Utapata email za kitaalamu yaani zinazoendana na jina la biashara yako. Mfano sales@netpoa.com au info@netpoa.com  emails hizi zinakuwa zinafanya kazi na utaweza kuziunganisha na vifaa unavyotumia kama simu au computer.
  • Utapata Offa ya Logo, kama biashara yako haina logo basi tutakutengenezea logo nzuri ambayo itaendana kabisa na muonekano wa website yako.
  • Utapata offa ya Domain name (mfano netpoa.com) na Hosting kwa mwaka mmoja Bure.

Kufahamu Zaidi Bei ya Website kulingana na mahitaji yako wasiliana nasi Sasa.

NETPOA

Kigogo, Mbuyuni,

Dar es Salaam, Tanzania

WhatsApp: +255 (0) 755 192 418

Email: sales@netpoa.com

www.netpoa.com

0 replies

Leave a Reply

Want to join the discussion?
Feel free to contribute!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *