PATA WEBSITE BURE KWA AJILI YA BIASHARA YAKO!

Hello Rafiki, kutokana na janga hili la Corona watu wengi wamekuwa wanatamani kuweka biashara zao mtandaoni lakini hawajui wanaanzia wapi. Inawezekana wewe ni mmojawapo.

Nina Habari njema kwako kutoka NetPoa, tumekuandalia offa ambayo itakuwezesha kuweka biashara yako online (kumiliki tovuti) kwa gharama nafuu sana.

Offa hii ni kwa ajili ya wafanyabiashara 10 tu, ukiwemo na wewe unaesoma ujumbe huu. NetPoa itakutengenezea tovuti ya kisasa kabisa ambayo itakua ni imeibeba biashara yako yote na wateja kuelewa kile unachokifanya.

Tunatengenezea tovuti bure kabisa hutalipia gharama yeyote kwa ajili ya kutengenezewa tovuti yako. Biashara yako itakuwa hewani na utaweza kuanza kufanya kazi ukiwa nyumbani kwa kupitia kwenye tovuti.

Utapata

Emails za Kiofisi zinazoendana na jina la biashara yako mfano sales@netpoa.com

Tovuti yako Itawezeshwa ionekane ukurasa wa kwanza kwenye Mitandao ya Kutafuta Vitu. (Google Yahoo, Bing)

Tovuti yako Itaunganishwa na Mitandao ya Kijamii.

Pamoja na faida nyingine nyingi.

Kama nilivyosema kwamba utatengenezewa tovuti bure ila utachangia gharama zile ambazo huwa haziepukiki, na gharama hizo ni ile ada ya kuiweka tovuti yako hewani kwa mwaka Pamoja na ada ya jina la biashara yako.

Nafasi ni 10 tu, unaweza kuwa mmoja wa watu hao kumi kwa kutuma ujumbe kwenye whatsapp wenye neno NATAKA WEBSITE.

Kutuma Ujumbe Bonyeza Hapa wa.me/255755192418

0 replies

Leave a Reply

Want to join the discussion?
Feel free to contribute!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *