Una website yako ipo sehemu nyingine na ungependa ihamie kwetu?

Umetengenezewa website na mtu ambaye ni msumbufu sana kila wakati na hukuongezea gharama ambazo huzielewi?

Unaweza Kuhamia kwetu ukafurahia huduma bora sana.

Ni rahisi sana chagua kifurushi cha Hosting kinachokufaa au sisi tunaweza kukuchagulia kisha utupatie details za kuingia kwenye cpanel ya website yako (username/email na password) kisha tutamaliza kazi iliyobaki.

Kuhamishia website kwetu ni bure utakacholipia wewe ni Hosting tu ya mwaka unaouanza.

Wasiliana nasi Sasa!

Email: info@netpoa.com

Call/WhatsApp 0755 192 418