Huduma Zetu
Karibu NetPoa Limited,
Hizi ni Huduma Zetu.
Tunatengeneza Tovuti za kisasa zinazonasa wateja kwa haraka kutoka kwenye mitandao.
Tunatoa ushauri wa kitaalamu na mafunzo namna ya kufanya mauzo kwenye mitandao na kukuza biashara yako kwa haraka.
Tunatoa ushauri kwa masuala yahusuyo Tehama (ICT).
Tunatengeneza Applications mbalimbali za simu kulingana na mahitaji yako.
Tunasajili makampuni, majina ya biashara, tunatengeneza Memorandum and Article of Association pamoja na Company Profile.
Tunatengeneza Matangazo mbalimbali ya picha na video.
Kipindi hichi ambacho kumekuwa na Tishio la Ugonjwa wa Corona ni wakati wa wewe kujifunza kubadili mazingira ya biashara yako na kuhakikisha ipo kwenye mtandao.
Wasiliana Nasi Sasa
0755192418
Leave a Reply
Want to join the discussion?Feel free to contribute!