NetPoa

Your Online Partner

Hosting

Tunatoa Hosting kwa gharama nafuu sana kuanzia Tsh 6,000/= kwa mwezi. Kuepusha usumbufu wa kulipia kila mwezi ambao unaweza kusababisha huduma zako zikasimama tunakushauri ulipia kuanzia miezi 6 na kuendelea.

Hosting Inaanzia Package yenye Webspace Gb 1 na kuendelea, kulingana na ukubwa wa website unayotaka kuweka kwetu utachagua package inayokufaa.

a/ Gb 1 Ni Tsh 72,000/= kwa mwaka.

b/ GB 3 Tsh 108,000/= kwa mwaka.

c/ GB 5 Tsh 132,000/= kwa mwaka.

Hizi ni baadhi ya vitu unapata unapofanya Hosting na sisi:

Unlimited Bandwidth

Unlimited Email Accounts

Free SSL Certificate

Daily Backups

Hii ni kwa package zote.

Baada ya kulipia tutafanya setup ya huduma yako na utatumia login detail za kuingia kwenye cpanel ili uweze kuendelea.

Tunapokea malipo kwa njia ya simu.

Unaweza Kulipia kwenda namba za Mpesa 0755 192 418 majina yatatokea Jacob Moshi.

N.B. Kama tayari una domain name yako kutoka sehemu nyingine basi utawasiliana nasi tukupatie nameservers ukafanye updating uliponunulia domain yako.

Bei za Hosting hazihusiani na gharama za Domans, hivyo basi kama huna domain kabisa kumbuka kwamba gharama za domain zitaongezeka kwenye bei ya Hosting.  Kufahamu kuhusu Domains Bonyeza Hapa.

Wasiliana Nasi

Barua Pepe sales@netpoa.com

Simu/WhatsApp 0755 192 418