Hama Mtandao wa Simu Kirahisi.

Je Wajua?
Namba yako Ya simu unaweza kuibadilisha ikawa namba ya mtandao mwingine wa simu.
Mfano namba ya voda ikawa ya halotel..
Unachopaswa kufanya, hakikisha haina deni lolote na wala isiwe na salio la pesa. Nenda ofisi za mtandao unaotaka kuhamia watakupa maelekezo. Utaweza kuirudisha tena au kuhamia mtandao mwingine tena baada ya miezi mitatu.

Post by netpoa.com.

0 replies

Leave a Reply

Want to join the discussion?
Feel free to contribute!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *