1. Social media management
Tunakusaidia wewe ambaye huna muda lakini unataka biashara yako ionekane ipo hai kwenye mitandao. Tunakusaidia kupost mara kwa mara kwenye mitandao Blog/Instagram/Facebook maelezo ya offa, huduma au bidhaa unazotoa.
- Instagram marketing services
- Facebook marketing services
- Twitter marketing services
- You tube marketing services
2. Digital Marketing Training
Tunaendesha mafunzo online na ana kwa ana, mtu mmoja mmoja na vikundi ya namna ya kutumia mitandao ya kijamii kibiashara, kuongeza mauzo na kukuza biashara au jina lako.
3.ONGEZA MAUZO
Kuandikiwa Matangazo
Hapa tunakusaidia wewe unaetaka kuuza bidhaa Fulani au huduma na hujui uandike vipi ili uwavute wateja wanunue kile unachokiuza. Tunakuandikia Tangazo zuri na linaloleta matokeo makubwa pale unapolisambaza sehemu mbalimbali kwenye mitandao.