NetPoa

Your Online Partner

Web Design

Hii yako wewe mjasiriamali, mfanyabiashara, mtu binafsi au wewe mwenye taasisi yako. Tunakutengenezea website ya kisasa na kitaalamu kwa kutumia mfumo wa WordPress kwa gharama nafuu ambazo unaweza kabisa kuzimudu.

Tayari una jina la Biashara/Taasisi unalotaka kutumia sisi kazi yetu itakuwa ni kusajili jina hilo yaani domain name. (netpoa.com) na kukutengeneza website yako mpaka inakuwa tayari hewani.

Mahitaji:

  • Tutumie jina Unalotaka Litumike kama Domain name (mfano www.netpoa.com )
  • Tutumie Picha, na Maelezo yote ya muhimu unayotaka yawepo kwenye website (mfano, Kuhusu Biashara Yako, Huduma Mnazotoa, Mawasiliano, etc).
  • Fanya Malipo na Kazi Yako itaanza ndani ya Siku 3- 7 kila kitu kitakuwa kimekalika na tutakukabidhi kazi yako.

Vitu Utakavyopata:

Barua Pepe zisizo na kikomo (mfano, info@netpoa.com )

Domain Name na Hosting itakuwa ndani ya gharama za kutengenezewa Website.

Gharama Zetu:

Website Zote Bei Inaanzia Tsh 300,000/= na kuendelea. Kadiri ya ukubwa wa kurasa za website yako zilivyo nyingi ndivyo na bei inaongezeka.

Weka Oda Yako Hapa.

Namna ya Kufanya Malipo:

Malipo ni Kwa Njia Ya Simu.

Mpesa 0755 192 418 Jina ni Jacob Moshi.

Baada ya Kulipia Wasiliana nasi mara moja Tuanze kazi Yako.

Website Yako Ipo Sehemu Nyingine Unataka Itengenezwe Upya na Ihamie Kwetu? Tunakusaidia kwa Haraka sana.

Wasiliana Nasi

Barua Pepe sales@netpoa.com

Simu/WhatsApp 0755 192 418