DIGITAL BRANDING

Pata Elimu Juu ya Mitandao ya Kijamii Inavyofanya Kazi.

Pata Mbinu za Kutangaza na Kuwafikia wale wateja Unaowataka.

Namna Ya Kukuza Kurasa za Mitandao Ya Kijamii Bure.

Namna ya Kutengeneza Jukwaa La Biashara Yako kwenye Mtandao wa WhatsApp.

Tunatoa Elimu na kukufundisha yale mambo ya msingi ili uweze kuendesha matangazo wewe mwenyewe.