Entries by NetPoa

SOCIAL MEDIA MANAGEMENT

Huduma hii inahusu kukusaidia wewe ambaye huna mtu wa kukusaidia kuendesha kurasa za mitandao ya kijamii ya biashara zako. Unapata msaidizi wa kukusaidia kupost picha na maelezo ya bidhaa au huduma unazotoa kila siku au kwa siku kadhaa kwa wiki kwa gharama nafuu. Package 1 Post Moja Kila Siku Yenye Picha Nzuri na Maelezo. Kwa […]

IFAHAMU DAWA YA KUVUTA WATEJA WAKUDUMU KWENYE BIASHARA YAKO.

Mimi Ninapenda sana maziwa ya mtindi, na hapa ninapokaa kuna duka ambalo huuza maziwa ya mtindi ya pakiti. Nimekuwa na mazoea ya kwenda hapo na kununua mara kwa mara ninapokuwa na hamu ya maziwa. Siku za hivi karibuni nilikuwa nataka maziwa nikaenda, nikakosa nikazunguka sana hadi nikapata sehemu nyingine. Zikapita kama siku mbili tena nikahitaji […]

KILA SIKU UNAPOTEZA WATEJA 10 KWA KUKOSA KITU HIKI.

Jifunze kwenye Kisa Hiki: Kuna biashara moja ninaipenda sana kuifanya sasa nikawa nimejipa muda wa kutafuta jina zuri sana ili niisajili biashara ile. Siku moja nikapata jina zuri sana na nikalipenda. Nikaingia kwenye mitandao ya kijamii kutafuta lile jina ili nione kama kuna mtu analitumia. Ukweli nikatafuta Instagram, facebook, google, sijaona mtu yeyote akitumia jina […]

FAHAMU AINA 9 YA WATEJA KWENYE BIASHARA YAKO

Hawa ni wateja unazoweza kuzitumia kukuza biashara yako 1. Wateja wapya 2. Wateja watafutao punguzo 3. Wateja watiifu au wakudumu 4. Wateja mabalozi 5. Wateja watafiti 6. Wateja wapitaji 7. Wateja walalamikaji 8. Wateja wasiokuwa na mpango wa manunuzi 9. Wateja wanaotafuta ubora Soma: Jinsi ya Kutengeneza Mpesa Mastercard 1. Wateja wapya Mteja huyu huja […]

PATA WEBSITE BURE KWA AJILI YA BIASHARA YAKO!

Hello Rafiki, kutokana na janga hili la Corona watu wengi wamekuwa wanatamani kuweka biashara zao mtandaoni lakini hawajui wanaanzia wapi. Inawezekana wewe ni mmojawapo. Nina Habari njema kwako kutoka NetPoa, tumekuandalia offa ambayo itakuwezesha kuweka biashara yako online (kumiliki tovuti) kwa gharama nafuu sana. Offa hii ni kwa ajili ya wafanyabiashara 10 tu, ukiwemo na […]

Usiogope Corona, Hamishia Biashara Yako Mtandaoni Leo.

Habari rafiki, napenda kukupa pole kwa majanga haya ya ugonjwa wa Corona, ni kweli mambo haya yameleta taharuki na wengi wamekuwa na hofu kubwa. Nataka nikutie moyo usikate tamaa, amua kubadilika na mazingira. Zipo njia nyingi unaweza kutumia ukaendelea na biashara zako kwa kipindi hiki, wakati wengine biashara zao zinakufa, wewe bado unaweza kuamua kuendelea […]

Huduma Zetu

Karibu NetPoa Limited, Hizi ni Huduma Zetu. Tunatengeneza Tovuti za kisasa zinazonasa wateja kwa haraka kutoka kwenye mitandao. Tunatoa ushauri wa kitaalamu na mafunzo namna ya kufanya mauzo kwenye mitandao na kukuza biashara yako kwa haraka. Tunatoa ushauri kwa masuala yahusuyo Tehama (ICT). Tunatengeneza Applications mbalimbali za simu kulingana na mahitaji yako. Tunasajili makampuni, majina […]

Our best Services

Netpoa “Digital Solutions” Our Services WEB HOSTING Safe and Secured, Cheap Web Hosting Design to suite your business.  DOMAIN NAMES Simple to Use, Choose an easy to remember Domain Name for your business. WEB DESIGN Professional, We Design a Website for you that will be your online business for your customers. BRANDING Business Growth Social […]

PATA WEBSITE YA KISASA KWA AJILI YA BIASHARA YAKO.

Kwanini Biashara Yako Inahitaji Website? Kwa muda sasa tangu mapinduzi ya mtandao wa intaneti yalipokuja tumekuwa na watumiaji wengi sana wa intaneti. Ukiwepo wewe wapo wengine mamilioni ndani ya nchi yetu ya Tanzania. Kwa mujibu wa takwimu za karibuni za TCRA zinasema kuna watumiaji Zaidi ya milioni 23 wa intaneti nchini. Sasa Rafiki yangu watu […]

Why You Should Choose Us?

NETPOA NetPoa is a Digital Company that delivers high end of Business & Products Branding, Web Designing, Web Hosting, for business, enterprises, and individual. The company was founded in 2013 by Jacob Mushi. His unique vision paved the road through uncharted territory as one of the best digital company which forever changed the landscape of […]