About Us

NetPoa ni mtandao unaowasaidia wajasiriamali, wamiliki wa biashara, taasisi na watu binafsi waweze kuweka biashara na kazi zao kwenye mtandao wa internet.

Tunawatengenezea tovuti za kitaalamu na ushauri wa namna ya kuendesha tovuti hizo ili kukuza biashara na kuwafikia watu wengi kwa haraka na urahisi zaidi. (Web Design)

Tunawasaidia watengenezaji wa website (Web Designers) waweze kuweka tovuti za wateja wao kwenye mtandao wetu kwa gharama nafuu (Hosting).

Tunawasaidia wajasiriamali na wafanyabiashara, taasisi pia watu binafsi namna ya kutumia mitandao ya kijamii na mtandao wa internet kwa ujumla kibiashara katika kutangaza bidhaa na huduma zao (Digital Marketing).